HAPPY
PASSOVER.
HERI YA
PASAKA.
BWANA YESU ASIFIWE watu wote wa mataifa yote na kwa nchi
zote ambazo ni nchi za mwenyezi MUNGU, ni mali yake, aliziumba yeye wala hakuna
mwingine zaidi yake, yeye aliye Alfa na Omega.
Napenda kuchukua nafasi hii kuwatakia pasaka njema na wokovu
wa kweli kila mtu aupokee kwa kumkiri YESU ndipo ataupata wokovu huo ambao
tumepewa bure, na ili uupate huo wokovu ni kwa kuokoka, na kama unamkiri
umepata wokovu huo. Na kama hauokoki napenda kukujulisha kuwa bado utakuwa
haujaupata huo wokovu bali unasikia sikia tu.
UJUMBE KWA
DUNIA YOTE.
Mnamo tarehe 07.04.2023 siku ya ijumaa kuu, MUNGU aliniambia
anakasirishwa na mambo mabaya yanayofanywa na wanadamu ikiwemo na baadhi ya
viongozi wa nchi. Akasema baadhi yao hawana hofu na mimi na hawana heshima,
hawana adabu japo wapo wasiojijua na wapo wanaojijua kabisa. Nenda waeleze
sipendezwi na mikataba yao ya ubinafsi (ushoga). Nimemuumba mwanadamu
nikamtakasa sasa kwa nini achafuliwe badilishwa maumbile yake?
Soma 1 Timotheo 1: 10-11 na 1 Wakorintho 6:9-10. Mfiraji na
anayefirwa hawataenda mbinguni na shetani anajua kabisa akiwakamata wanadamu
kwa agano hilo basi kila afanyaye ameshakuwa mateka wake, sasa nawauliza nyie
wanadamu hamtaki kwenda mbinguni? Mnataka kuja kuchomwa moto? Maana shetani
moja ya cheo chake yeye ni shoga au kwa jina lingine kwa Kiswahili wanasema msenge.
Viongozi wa nchi zote wacheni huo mpango wa kuvunja sheria
ya MUNGU na kuleta sheria za miungu, msiseme mnasimamia haki za binadamu,
simamieni haki njema siyo kutaka haki za miungu ziwe za wanadamu. Iko dhambi
itakayomfanya kiongozi achomwe moto sababu anaposaini au kuruhusu mkataba wa
ushoga katika taifa analoongoza, katika ulimwengu wa roho anakuwa ameitoa
sadaka au katoa kibali cha wananchi anaowaongoza kuvamiwa na hiyo roho
pasipokujua au kwa kujua na pia aliyemruhusu na yeye katika ulimwengu wa roho
anatambulika ni shoga.
Jambo lingine watu wa mataifa muwe makini sana hiki ni
kipindi cha hatari sana, tunamsubiria YESU arudi kulinyakua kanisa lake,
haijulikani muda waa siku. Shetani anabuni mipango ya siri sana ili kuwateka
wakristo pasipokujua na kwa kujua. Ukisoma 1 Wakorintho 6: 9-10; sasa wapo
wahubiri, wachungaji, mitume na manabii, waalimu, bishop, waimbaji wa injili,
wainjilisti ambao ni mashoga na wanaongoza makanisa eti kuwapeleka mbinguni. Mimi
Nabii Hebron nawaeleza kama neno linavyosema wafiraji (shoga) hawataurithi
ufalme wa MUNGU; ina maana huyo pastor anayeongoza watu kwenda jehanamu na
kondoo pasipokujua wanapotezwa. Ni aibu sana baadhi ya makanisa yanaruhusu
ushoga na hata kusimika wafiraji bila aibu na hofu ya MUNGU eti wafiraji
wanapeleka watu mbinguni wakati MUNGU amesema hawataenda mbinguni au ni kanisa
la miungu na kumpinga MUNGU? Tena inapitisha sheria kabisa.
Aina ya pili ya mashoga wa kiroho ni wale wanadamu ambao ni
wake za shetani na wamejaa katika dunia hii. Ila ni kwa neema ya MUNGU
akufunulie, wapo mitume, askofu, waalimu, waimbaji, wachungaji, wainjilisti;
hao ni wale waliomuasi YESU wakajiunga na ushetani na wengi zaidi wanahubiri
injili kumbe ni wake za shetani. Shetani akimpa upako mtumishi ni lazima awe
mke wake na ndio sababu ukiangalia baadhi ya wahubiri wa kiume wanapitiliza kujichubua
ili kumfurahisha shetani bwana wake na atakuwa na vitabia vya kike kike hata
kuongea kwake. Haya ni mambo yaliyofichika ila uyatambue na hao ni moja ya
group la wafirwaji wa shetani ili kuendeleza muunganiko huo wa Sodoma na Gomora.
ANGALIZO:
Kwa aliye shoga OKOKA, ukombolewe ili pepo au jini likuachie
ili upone maana unaangamia kama ulikuwa haujui rejea kwa YESU akuponye na
ubadilike kwa jina la YESU utoke kwenye list ya kwenda jehanamu.
NATO- UMOJA
WA MATAIFA.
Utagawanyika kuanzia sasa na watakuwa na machafuko ya
maandamano ya uchumi, kisiasa na hata baadhi ya marais, waziri wakuu watang’olewa
madarakani.
Yapo mataifa makubwa ya Nato na madogo yatarudi nyuma na
kutaka amani ya dunia.
Itatimia unabii wa Daniel ufalme kuvunjika kuanzia
07.04.2023 yameshaanza na yatatimia mpaka kimwili.
Nawatakia heri ya pasaka 2023.
PROPHET
HEBRON KISAMO.