MAHOJIANO
KUPITIA YOUTUBE: JINSI NABII HEBRON ALIVYOTIKISA KUZIMU SEHEMU YA 3- MAVAZI
Mtume: BWANA YESU
ASIFIWE!
Karibu sana ndugu watazamaji na watoto wa MUNGU
na wasikilizaji katika kipindi kinachaendelea siku ya leo tena nikiwa
na mwanangu ambaye ni mototo wa MUNGU sasa anaitwa Isaya, yule ambaye alikuwa
ni kiongozi wa ngazi ya tatu kutoka ufalme wa shetani akiwemo joka kuu, Lusifa
alafi ndiyo yeye, YESU amenituma nimemtoa kuzimun niko naye sasa hapa
anawaelezeayale yaliyopo huko na nyie mpate kufunguka msitekwe tena maana mambo
yameharibika, huyu ndiye alikuwa Operator wa kazi zote za shetani unazoziona
dunia nzima lakini YESU amemtoa.
Mtume:
Karibu sana Isaya!
Isaya:
Asante sana
Isaya:
BWANA YESU Asifiwe
Mtume: Amen
Isaya: Kwa jina Naitwa Isaya kwa jina langu
la zamani nilikuwa naitwa Maxwell lakini sasa naitwa Isaya, Ni mtoto ambaye
Mtume na Nabii alikuwa anamwongelea nilikuwa ngazi ya tatu katika ufalme wa
shetani lakini sasa hivi siko tena huko,
niko katika ufalme wa MUNGU.
Isaya: Naa ni …. nilikuwa nikisababisha mimi
mwenyewe hapa duniani ni mengi sana
yametokea lakini sasa hivi siko huko kabisa “msiogope” ninachozidi
kuwasihi ni kumhofia sana MUNGU na kumuheshimu MUNGU na msije mkadharau kanisa
ambalo …. la YESU NI BWANA NA MWOKOZI WA MATAIFA YOTE kwa sababu hilo ni kanisa
ambalo MUNGU mwenyewe ameliteua na ndilo kanisa la mwisho, kwa hiyo tuwe makini
sana na hilo kanisa na pia Mtume na Nabii tusimwone mtu wa kawaida na wala tuzimzoee yeye ni MUNGU anaongea
ndani yake mda wowote, kwa hiyo tunatakiwa tuwe makini sana na msije mkakubali
tena kurudi kwa shetani kwa sababu mmeshaanza kufunguka na mmeshapata vitu hadi
vitu, siku hadi siku kwa hiyo muwe makini sana wana wa MUNGU
Mtume: Aah sasa Isaya kwa siku ya leo, ndugu
watazamaji na wasikilizaji kuna mambo machache ambayo ningetaka tuyazungumze,
Maana yeye aliyekuwa ndiye mtendaji mkuu
na sasa YESU ndiye aliyemtoa huko na katika kazi aliyonituma nimchomoe huko, kwa sasa ulimwengu umekwisha pinduliwa ni YESU
anatawala.
Mtume:
BWANA YESU asifiwe!
Naaah! Katika mda huu tutazungumzia katika baadhi
ya vipengele, tutazungumzia baadhi ya
vipengele vya mavazi na aa vyakula na magari naaa upande wa pafumu ili
watu wapate kuelewa na viwasaidie na wasizidi kuangamizwa maana unajua makusudio
na malengo yake.
Mtume: Hebu tuanze kwa upande wa mavazi ambayo
yanavaliwa duniani na yalikuwa kuzimu.
Mtume:
Karibu Isaya.
Isaya
: BWANA YESU asifiwe,
Mtume:
Amen
Isaya: Vazi la kwanza napenda kuelezea ni
vazi la nguo za ndani boxer labda;
Mtume:
Mh!
Isaya: Ningependa kuwaambia kanisa hili vazi
maana yake ni unakuwa unavaa vazi la nyani kwa sababu , “Boxer” maana yake ni nyani wa kuzimu
Mtume:
Ni nyani wa kuzimu? Mh!
Isaya:
Ndio
Isaya: Kwa hiyo unapokuwa unavaa lile vazi,
unakuwa umevaa vazi la yule nyani kwa hiyo wewe unakuwa ni mzinzi kila siku,
siku hadi siku.
Isaya: Na pia kuna nguo nyingine !!!!
Mtume: Hebu turudi kwenye upande wa boxer, Boxer
hizi nguo za ndani ziko kama bukta?
Mtume: Si ndio! Kwa hiyo zile ndio nguo za
ndani?? Tuseme chupi za nyani? Huko
kuzimu? Na kwa nini duniani wanaziita boxer?
Isaya: Lile Jina lililetwa huku duniani ili
kuchezea akili za watu wasije wakaelewe nini maana yake.
Mtume:
Mh!
Isaya:
Na ndio maana duniani zikaitwa
duniani kwa jina la boxer.
Mtume:
Mh!
Isaya: Na mtu anapokuwa anavaa ile nguo
anakuwa anapata zile roho za yule nyani unakuwa ni mzinzi tu.
Mtume:
Kwa hiyo ndio lengo la hiyo!
Mtume: Basi tuendelee kwenye mavazi mengine
Mtume:
mhh
Isaya: Naaaa Vazi lingine ni Bikini unapokuwa unavaa unakuwa unajizuilia mambo
yako wewe mwenyewe,
Mtume: Mhhh!
Isaya: Unakuwa huendi mbele wala wala hufanikiwi kwa sababu lile vazi ni vazi la mama wa Makahaba
Mtume: Hizi nguo ambazo wanadamu wanazozivaa
ambazo uliniambia ni za kuzimu aaah!
Lengo! hapa duniani ziko nguo nyingi nilitaka kwa faida kidogo useme
baadhi najua huwezi kuzimaliza japo
kidogo ili wasikilizaji na watazamaji wazidi kupona
Isaya:
BWANA YESU asifiwe
Mtume:
Amen
Mtume: Ndugu msikilizaji na mtazamaji haya ni
mambo mchache lakini zaidi unaweza kufuatilia katika you tube na katika vipindi
vingine maana mambo ni mengi sana.
Mtume: Haya, nitakuja turukie katika upande wa
chakula, lakinu tubase katika vinywaji mabavyo mlikuwa mnavitengeneza kuzimu
lakini huku duniani vinanyweka na kazi zake na lengo lake.
Isaya:
BWANA YESU asifiwe!
Mtume:
Amen
Isaya: Kinywaji cha kwanza napenda kuwambia
ni whisky,whisky maana yake ni mkojo wa majini, unapokuwa unakunywa unakuwa
tayari umeshakunywa mkojo wao
Mtume:
Mh!
Isaya:
Alafu pia kuna bia(beer)
Mtume: Mh
Isaya: Ile bia maana yake ni majasho ya
majini kule kuzimu …………… wao hawanywi
Mtume: Mh!
Isaya: Alafu kuna wine, wine ni mate ya
majini kule kuzimu wanayaleta huku duniani kwa hiyo unapokuwa unakunywa kazi
yake yanachukua vitu vyako katika maisha yajo siku zote
Isaya:
Alafu pia kuna soda
Mtume:
Mh!
Isaya: Maana yake unakuwa umekunywa mavi ya
majini pasipo wewe kujielewa.
Mtume:
Majini gani?
Isaya:
Kuna jini moja linaitwa Mufilisi.
Mtume:
Naa kwa nini vimeletwa duniani?
Isaya: Vile vitu vimeletwa huku duniani kwa
malengo ya kwamba mtu amekwisha kupotea pasipo yeye kujielewa.
Mtume:
Ahaaaaa!
Mtume:
Hebu endelea kuelezea vinywaji vingine vya
huko chini.
Isaya: Naa, pia kuna maji naaa kinywaji
ambacho ni maarufu sana Dar es Salaam
Mtume:
Mhhh
Isaya:
Kile kinywaji kimetengenezwa na
mate ya konokono
Mtume:
Mh
Isaya: Na unavyokuwa unakunywa yale maji ni
tayari unakuwa umeshakunywa makufuru na madahara yake unakuwa umeshapoteza maisha
kwa sababu yale maji ni agano lao unakaa kidogo na unakufa
Mtume:
Bwana Isaya,
Mtume: Labda nirudi nikuulize swali, unaposema
kinywaji maarufu ni maji, ni soda ni chai?
Isaya:
Maji,
Mtume: Maji maarufu
Mtume: Kwa hiyo ni maji maarufu yanayotumika
Dar es Salaam kwa wingi kuliko yote,
Mtume:
Basi, tuendelee
Isaya: Na pia kuna hivi vinywaji aina ya
soda vile vinywaji ni nyeusi, soda yoyote ambayo ni nyeusi, maana yake
unakunywa tayari umeshakunywa jasho la
majini
Mtume:
Mhhh
Isaya: Naunapokuwa unakunywa unaweza
ukajikuta hatua za mwisho umepoteza mali zote na hatua za mwisho pia ukafa
Mtume:
Mh!
Mtume: Ahaaaaaaa Bwana Isaya labda ungeeleza
vinywaji vingine ambavyo unaona ni komini (common) najua ni vingi sana ambavyo unaweza
, ambayo unaona vitawasaidia ndugu watazamaji kuelewa
Mtume: kwa hiyo ninachowasihi mimi nilikuwa nayajua
haya yote kinywaji bwana chenye rangi nyeusi,
chochote! Habari ya cheusi, habari ya soda hiyo aaah
Mtume: Eendelea na vigine
Isaya:
Na pia kuna juice maarufu sana
kule Dar, Ile juice maana yake
Mtume:
Ambayo iko na lambalamba, Barafu
eheeeeeeee
Mtume:
Kampuni hiyo yaani !!!!
Mtume: Hebu elezea kampuni hiyo lakini usiitaje
jina maana wewe ndio uliyoitoa hilo jina na kuisajili kule kuzimu
Isaya: Maana yake, Kuna mti kule kuzimu,unasagwa na ule mti huwa unasanywa, ule mti huwa unatoa
maji, na maji yale ni makufuru, kwa hiyo unapokunywa tayari unakuwa umekunywa Makufuru,
na hukai baada ya masaa tayari unakuwa umekufa lakini ila watu watakuona kuwa
upo hai
Mtume: Kwa hiyo hivi vinywaji watu wanaovitumia
tayari wanakuwa wameshakufa? Ni Mabox !!?
Isaya:
Ndio
Mtume:
Na wakishakufa wanaenda kwa
shetani, ili miungu wapate
Mtume: Na
tuingie katika upande wa magari maana na wewe ulikuwa naya kwako
Mtume: Wewe ulikuwa na gari gani? Najua ulikuwa
na magari mia tatu (300)
Mtume: Hebu taja machache uliyokuwa nayo japo
sasa hivi huna kitu tena YESU atakupa ya kwake mazuri ya kwake mazuri
Mtume: Mhhh
Mtume:
Ok! Hii limo ina maana gani?
Isaya:
Hii limo maana yake ni nyoka
Mtume:
Mhhhhh
Isaya: Unapokuwa umepanda hiyo gari tayari,
Maana yake unakuwa umepanda nyoka
Mtume: Ndio maana linakuwa lina kinywa kirefu hivi
Mtume:
Sasa lengo la ile kuletwa huku
duniani ni nini?
Isaya: Hilo gari lengo lake ni kuwawameza
watu, unapokuwa umepanda hili gari
unakuwa umeshamezwa kwenye tumbo la
nyoka
Mtume:
mhhh
Isaya: Ambaye ndiyo joka kuu
mwenyewe
Mtume:
mhhh!
Isaya: kwa hiyo kutoka inaweza ikawa ni
shida sana, labda kama utakuwa kwenye kanisa la YESU NI BWANA NA MWOKOZI WA
MATAIFA YOTE,
Mtume: Haaaaaaaaha
Mtume: Mbona kila kitu unasema kwenye KANISA
LA YESU NI BWANA kwani kwingine
hakutoki?
Mtume: heehheee
Isaya: Kwa sababu hilo ndilo kanisa ambalo
MUNGU ameliteua na ndio Kanisa ambalo MUNGU yupo hapo na sio kanisa lingine?
Mtume: Hayo
mengine yanakuwa na shida?
Isaya:
Ndio!
Mtume: Hebu elezea kidogo ila usitaje majina,
Isaya: Hayo makanisa, kazi yake nikuchukua fedha
za watu na , kupoteza uthamani wa maisha ya watu, unaweza ukajikuta huendelei,
wewe unarudi nyuma, mengine nimeyasahau hilo ni mmoja wapo nalolikumbuka
Mtume: ahaaaaa Mhhhh!
Mtume: Tuje kwenye habari za pafumu maana
wanadamu wengi wanajipulizia pafumu kumbe zina shida tupu
Isaya: Upande wa pafume mimi
sikumbuki mhhh!
Mtume: Elezea hizo kidogo tu
Isaya: Ila nina pafume ninayoikumbuka
ile ya kiarabu ambayo
Isaya: Ile pafumu ni kali sana
na ina harufu ya udi na ubani
Mtume:
Mhhhhhh
Isaya: Na unapojipulizia unakuwa umeshakaribisha
mapepo kutembea na wewe kila mahali, na kiongozi wako wakukuongoza anakuwa Maxwell.
Mtume:
Mhhhh
Isaya: Ambaye sasa hivi naitwa Isaya
Mtume: Ambaye ni wewe
Mtume: Tuje sasa kwenye habari ya mshahara.
Mtume: Ulikuwa unalipwa shilingi ngapi kwa
mwezi, kwa pesa za kitanzania sio dola
Isaya: Kwa mwezi nilikuwa nalipwa fedha za
kitanzania millioni mia nane
Mtume: Na ulikuwa unaweza kuzitumia kwa mwezi
zinaisha?
Isaya: Nilikuwa sijimalizi zote
Isaya: Ila nilikuwa naweza kutumia milioni
mia tano (500)kwa mwezi .
Mtume: heeeeeh
Mtume: Sasa tunakuja kwenye jambo lingine
Mtume: Kwenye upande wa ndege au usafiri, wewe
peke yako ndio ulikuwa una ndege kubwa kuliko kuzimu yote. Hebu tuelezee kuhusu
hiyo ndege na kwa nini hiyo ndege haikuweza kufika duniani? Ikawa inaenda
sehemu zingine?
Isaya: BWANA YESU ASIFIWE!
Mtume: Amen
Isaya: Ile ndege kazi yake kubwa ilikuwa ni
kukagua kazi zinaendeleaje kule kuzimu,
Isaya: Ile ndege haikuweza kufika duniani
kwa sababu ya mtu mmoja ambaye ni Mtume na Nabii peke yake , alikuwa anaifanya
hiyo ndege inapokuja duniani inapata matatizo mbalimbali, na ile ndege ilikuwa
inauwezo wa kupita duniani.
Mtume:
Mmmh
Isaya: Ilikuwa na uwezo wa kupita duniani,
ina maana hiyo ndege ingepita katika nchi, nchi hiyo ingegeuka juu chini.
Mtume:
Hiyo ndege ilikuwa inaitwa nini?
Isaya:
Airforce 7
Mtume:
Airforce 7?
Mtume:
Ukubwa wake ni kama vipi?
Isaya:
Kama Africa nzima
Mtume:
Na ni nani aliyekuwa amekununulia?
Mtume:
Baba yako huyo joka kuu?
Isaya: Mimi mwenyewe
Mtume:
Na wewe ulikuwa fundi kila kitu
kabisa?
Isaya: Ndio
Mtume:
Naaa Pilot wako! Pilot wako
unamkumbuka
Isaya:
Namkumbuka lakini jina
silikumbuki
Mtume: Na alikuwa jinni?
Isaya:
Ndio.
Mtume: Maana kuna siku moja nilikuwa na pambana naye
alikuwa anakutafuta sana.
Mtume: Ndugu msikilizaji na mtazamaji, endelea
kufuatilia YouTube na CD nyingine katika kipindi kingine.
Mtume: Ubarikiwe.
Mtume: Ndugu Mtazamaji na msikilizaji na
kuhekimisha kwa jina la YESU sasa uokoke urejee :
Mtume: USEME
BWANA
YESU NINAOMBA UNISAMEHE DHAMBI ZANGU ZOTE NILIZOZITENDA KWA KUJUA AU KUTOKUJUA
NAKATAA UCHAWI NA MAMBO YA SHETANI NAJIKABIDHI KWAKO BWANA YESU NISHIKE MKONO
MIMI NI MALI YAKO, NIKOMBOE, AMEN.
NABII
HEBRON.