Bwana Yesu asifiwe, ninakusalimu katika jina la Yesu Mwokozi wa ulimwengu!
Kwa jina lingine, kwa kingereza wanaitwa ‘salary driven ministers.’ Hao siyo wa MUNGU, hawajulikani na MUNGU, hawajulikani na YESU, hao hawatembei na YESU hatakama wana litaja jina lake.
Yohana10: 12 -13
“12 Mtu wa mshahara, wala si mchungaji, ambaye kondoo si mali yake, humwona mbwa-mwitu anakuja, akawaacha kondoo na kukimbia na mbwa-mwitu huwakamata na kuwatawanya. 13 Yule hukimbia kwakuwa ni mtu wa mshahara; wala mambo ya kondoo si kitu kwake.”
Leo hii kuna wachungaji wa mishahara, manabii, wainjilisti, waalimu, waimbaji; Ninaposema waimbaji wa mishahara, ni muimbaji analipwa mahali akaimbe, anasema ‘weka kwanza pesa yangu mezani kiasi flani’ huyo sio mtumishi wa msingi wa MUNGU, huyo ndio muimbaji wa mshahara, na kama ni mshahara MUNGU hapitii wala Roho wa Mungu hapitii hapo, zinapita roho zingine.
Wengi mnaongozwa na watumishi; wachungaji wa mishahara, mkifikiri watawafikisha mbinguni. YESU hakuweka huu msingi, aliukataa, umetoka wapi? nani kauleta? Na wengine wanampenda YESU ni watumishi, ila wamenaswa na shetani kwasababu mmekuwa watumishi wa mishahara. Kama BABA yangu wa mbinguni ananyeshea miti, viumbe vyote, basi mtumishi wake ni zaidi, lakini wengi wametekwa na shetani kwa kujua na kutokujua.
Yohana10: 14 -15

“14 Mimi ndimi mchungaji mwema; na walio wangu nawajua; na walio wangu wanijua mimi; 15 kama vile Baba anijuavyo, nami nimjuavyo Baba. Nami nautoa uhai wangu kwaajili ya kondoo.”
YESU mchungaji, yeye aliongoza watu wengi na alitoa uhai wake, lakini hakuangalia ‘maslahi,’ hakuangalia anapata nini, kwasababu ndio msingi ulioletwa na MUNGU. Kabla ya YESU kuja kulikuwa kuna watumishi, ila YESU alipokuja akawaonyesha msingi wa kuifanya kazi yake; kwanza ni wito, uipende, na akikuita yeye hana mambo ya kibinadamu. Hata yeye hakumpa BABA yake masharti ‘ unilipe kiasi gani au unifanyie hivi. Kwa watumishi wa MUNGU, wote warudi katika msingi wa YESU; kama mtu anataka awe mtumishi wa MUNGU, amuangalie MUNGU. Si maanishi kwamba watumishi wa MUNGU wasisaidiwe, wasaidiwe, wabarikiwe lakini siyo kwa unyang’anyi, siyo kwa kumpa Mtu masharti.
Matendo 20: 28 -31

“28 Jitunzeni nafsi zenu, na lile kundi lote nalo, ambalo roho mtakatifu amewaweka ninyi kuwa waangalizi ndani yake, mpate kulilisha kanisa lake Mungu, alilolinunua kwa damu yake mwenyewe. 29 Najua mimi yakuwa baada ya kuondoka kwangu mbwa-mwitu wakali wataingia kwenu, wasilihurumie kundi; 30 tena katika ninyi wenyewe watainuka watu wakisema mapotovu, wawavute hao wanafunzi wawaandamie wao. 31 kwa hiyo kesheni, mkikumbuka ya kwamba miaka mitatu, usiku na mchana, sikuacha kumwonya kila mtu kwa machozi.”
Na kwakujua na kutokujua, yawezekana wewe unaongozwa na mbwa-mwitu! Na kwanini YESU alitumia mfano wa mbwa-mwitu? Huyu mbwa yuko porini, wanatembea kwa makundi, wenyewe hawaangushi mnyama chini, wana mla akiwa anatembea, wananyofoa mmoja paja, mwingine mguu, wanatoa tu. Ndio maana YESU alisema hawa watumishi ni mbwa-mwitu kwasababu wanamuangamiza mwanadamu au muumini angalia anatembea. Wanamfilisi, wanammaliza, akisha ishiwa hawamtaki hata kumuona. Na watu wengi makanisani walioishiwa, wachungaji baadhi hawataki kuwaona kwasababu walikuwa wachungaji wakuangalia vinono, wa kuangalia vitu.
Hizi sio tabia za Mwenyezi MUNGU alizoleta katika kanisa, ndio maana nasema; kanisa limeacha njia alizoleta YESU, na kama imeacha hiyo njia, linakwenda wapi? na kwakujua na kutokujua wako wanaompenda MUNGU lakini wako katika njia mbaya.
1 Yohana 4: 1

“1Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwasababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani. ”
Maana ya nabii ni kinywa; Nabii kwa karama yake anaweza kuwa askofu, mtume, mchungaji, mwinjilisti au shemasi, anaposema uongo ndipo anaitwa nabii wa uongo au akishaanza mambo ya mshahara, MUNGU anamtambua kama nabii wa uongo kwasababu haendi naye. Ndio maana akasema zijaribuni hizo roho kama zinatokana nami, wengi hawataki watu waokoke lakini wanataja jina la YESU, hao ni waongo, sasa usije ukajichanganya ukadanganywa nao, shika sana wokovu wako ulionao asije mbwa-mwitu akakuteka, na atakuteka kwa kupitia hawa wanaoleta mafundisho ya uongo. YESU alileta wokovu lakini hawa wanasema hakuna kuokoka, hakuna kukiri sala ya toba, hawa ni wa mishahara. Hamuoni aibu mnawadanganya wanadamu? Hakuna kitu kibaya kama wanadamu wakijua mnawadanganya kuhusu safari ya kuwapeleka mbinguni, kumbe mnawapeleka jehamu.

2 Timotheo 4: 3-4
“ 3 Maana utakuja wakati watakapoyakataa mafundisho yenye uzima; ila kwa kuzifuata nia zao wenyewe watajipatia waalimu makundi makundi, kwakuwa wana masikio ya utafiti; 4 Nao watajiepusha wasisikie yaliyo kweli, na kuzigeukia hadithi za uongo.”
Mafundisho ya uongo ni hadithi za uongo; Tukianza na ubatizo wa kikombe ni hadithi za uongo, ubatizo wa kisima ni hadithi za uongo, kubatiza watoto wadogo ni hadithi za uongo, kubariki watu wazima ni hadithi za uongo, kuombea watu kwa pesa na wewe unakubali kutoa pesa kwa mchungaji ili uombewe, ni hadithi za uongo. Makanisa kwenda kukopa benki, pesa za kujenga nyumba ya MUNGU, ni hadthi za uongo; MUNGU alisema yeye, usichaji riba, kama ni ya kwake atafanya. Unaona hadithi za uongo?! Utaponywa kwa jina la YESU ila mnakimbilia majini, hadithi za uongo. YESU akasema kanisa siyo nyumba la soko, ila leo hii ni harambee na michango, hizi ni hadithi za uongo, na kanisa likafwata hadithi za uongo ndani ya yule muovu maana MUNGU yeye ni mtakatifu, hataki uongo, hataki uchafu. Huko ni kuvunja sheria za neno la MUNGU, na wanaovunja, MUNGU anawaita ni mbwa-mwitu!
Kuwafundisha watu mapotofu ndio kuwapeleka jehanamu. Wachungaji, manabii, mitume ambao mmeamuwa kuwa mbwa-mwitu; MUNGU akuite wewe ni mbwa, neno lake likuite wewe ni mbwa, Roho mtakatifu akuite wewe ni mbwa, na wewe unajichunguza unajiona kweli ni mbwa-mwitu lakini umejificha! utawadanganya wanadamu lakini MUNGU anakutambua wewe ni mbwa, na unayo adhabu yako, unawazuia watu wasiende mbinguni, wakati wewe huendi.

Kuna makundi ya mbwa-mwitu ambao ni wachungaji katika zile huduma 5 za MUNGU, wanajiita watumishi wa MUNGU kumbe ni mtumishi wa kitu kingine:
- Wako watumishi waliojiita, wako matapeli wanaweza wakasomea au wakajiamkia tu lakini njia zao ni mbaya. Wako wahubiri wachawi lakini ni mbwa-mwitu, wako wa mafundisho ya uongo lakini hamtayajua kwasababu wanachanganya ukweli na uongo.
- Wako watumishi waliotengenezwa na waganga, wako waliotumwa na malango ya kuzimu kuhubiri injili; Ndio wale wanashuka na kupaa, wanatembea uchi, ndio wale wakati mwingine wanaambiwa uwa watoto wako, mke wako, ili wainuliwe kihuduma, unaona ni huduma ya MUNGU, mkidai Bwana amefanya, mnamsingizia Bwana na ni shetani.
- Wako waliojipa wito na tamaa tu, bado MUNGU hakujui, ili uwe mtumishi wa MUNGU, MUNGU akutambue na YESU akutambue.
- Wako wanaopenda kufanya kazi ya MUNGU lakini wanamuambia MUNGU ili nikutumikie nifanyie jambo flani kwanza. MUNGU siyo wa hivyo! MUNGU anataka kumlipa mtumishi wake bila mipaka, amnyanyue sanaa, lakini ukianza kazi ya MUNGU na kuangalia kunyanyuliwa, hutakaa unyanyuliwe.
Sababu ya tamaa na pesa, shetani akawateka sana wengi, YESU alisema usipende sana pesa, na pesa zikaharibu watu. Wewe unafikiri kwa nini kanisa linasema sana uongo, kwanini kanisa linakuwa na wachawi, linaenda kinyume na MUNGU? Kwasababu ya pesa.
- Kuna mawakala wa shetani kuja kuharibu kazi za MUNGU, wanatumwa na kuzimu, yaweza kawa hata ni waumini au wahubiri; na wahubiri wakiwa ni wa shetani, wanazaa na watoto wa kipepo, wanazaa na karama, kwani karama zote hazitoki kwa MUNGU, hata shetani anatoa karama.
- Wako wachungaji wakufukia biblia kwenye ardhi, kwenye nyumba za watu, kwenye msingi au madhabahuni, na kufukia majina; Hawa wote ni mbwa-mwitu. Neno la MUNGU anapolizika, wewe utakuwa taira, akikuambia na kukufundisha kila kitu wewe unakuwa ni; ndiyo, ndiyo, pasipokujua.
Kuna tofauti ya wachungaji wa nyakati zile na wa sasa hivi :
Matendo 3: 4 -6
“4 Na Petro, akimkazia macho, pamoja na Yohana, akasema, tutazame sisi. 5 Akawaangalia, akitarajia kupata kitu kwao. 6 Lakini Petro akasema, mimi sina fedha, wala dhahabu, lakini nilicho nacho ndicho nikupacho. Kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti, simama uende.”
Wachungaji wa leo; Wana vitambaa, wana mafuta ya upako, wana maji, manukato, mpaka viatu na mikanda za kuponya watu. Hapa Petro alisema ‘mimi sina fedha wala dhahabu, lakini nilicho nacho ndicho nikupacho.’ Leo hii una matatizo yako unaambiwa chukua mafuta, chukua maji; Hawa siyo wa MUNGU, hawa ni wa mshahara, Petro alisema ni ‘kwa jina la YESU’ hakuombea kwa maji wala udongo bali kile alichopewa, Na wanadamu wengi wamejengwa kwenye fikra wakija kanisani wanunue; kitambaa, maji, mafuta, awe na stika ya mchungaji, yani vitu vya kuwaponya, na sio jina la YESU.
Kila mahali watu wamechoka na siyo kuwa wanadamu hawampendi YESU; ni hawa wachungaji, manabii, mitume wamekuwa mawakala wa shetani, wa MUNGU wako wachache, wengi wamekuwa watafuta pesa, wengi wanyang’anyi na shetani amewaleta. MUNGU anatenda, ila tatizo unakutana na wasio na MUNGU, wasio na YESU, ila wanakung’ang’ania wakisema ili ni neno la MUNGU lakini siyo hao ni wa mishahara. Waulize; Hivi ndivyo muajiri wako atakavyo? Anasema wale walio wa kwangu nawajua na wao waijua sauti yangu, zichunguzeni hizi roho, roho hutaangalia kwa macho bali matendo yao. Anasema hawa watumishi wa mshahara sio wa kwake, yeye hana hivyo. Na siyo kwamba hajali watumishi wake, ana namna yake mwenyewe. Neno ndivyo linasema na MUNGU anaangalia neno.
Msingi wa mtumishi wa MUNGU sio mshahara, MUNGU ana watu wengi, usimringie! Siku ile watu wengi watalia sanaa, mchungaji ndio aliyekuwa sababu, kanisa ndio liliokuwa sababu. Wewe umeambiwa zichunguze kila roho, na YESU anarudi sasa; dini yako haikupeleki, mama yako, baba yako hawakupeleki mbinguni, ni YESU pekee yake.
SEMA:
BABA yetu naomba unisamehe dhambi zangu zote nilizozifanya kwa kujua na kutokujua, nakurejea wewe, nitenge na mbwa-mwitu, nitenge na kutumika kwa mipango ambayo siyo ya kwako, yamkini nilikuwa najua au sijui kumbe sio msingi wako, hatakama nilitaja jina lako, nilitaja Roho mtakatifu na kunena, Eeh YESU niokoe. AMEN.
PROPHET HEBRON WILSON KISAMO.