KILA MHUBIRI ANAYETUMIA UCHAWI AU NGUVU ZA GIZA AACHE!
KWA MAANA SASA WATAKUFA...... HIYO NDIO TAARIFA KUTOKA MBINGUNI KWA BWANA YESU!
HABARI HII WATUMIE NA WATU WENGINE, WEWE UNAYEDHARAU.... DHARAU!
YATAKAPOKUTOKEA UNAYETUMIA HAYO USIJUTIE YESU AMECHOKA KUVUMILIA, HII NI KWA MATAIFA YOTE.
UJUMBE HUU HATA MIMI MWENYEWE NABII HEBRON UMENITISHA NA HAUFURAHISHI ILA NDIVYO ALIVYOPANGA YESU MWENYEWE
YESU aliendelea kusema “Uwaeleze wanirejee, yapo mambo mabaya sana yatawapatamataifa, mambo yale yaliyoandikwa kwenye Biblia Kitabu Kitakatifu na mengineyataongezeka”. YESU amewaonya wachawi muda mrefu ili watubu na wamrejee,wapinga Kristo hivyo hivyo na wanaolichezea jina lake hivyo hivyo. Hao wanaompingahawaitaki kweli yake, wanabadili Neno lake na kuwapoteza watu wanaotakiwa kwendambinguni.
YESU amesema, atapambana na wafuasi wa shetani kila eneo mpaka kwenye kona yadunia, yeye hashindwi na lolote na sasa atafanya, yeye YESU ni mfalme, ni mwana wapekee wala hakuna zaidi yake duniani na mbinguni. Waeleze “nipo njiani kujakuwachukua wale walionikubali tu”. Mengine alinieleza ni yangu kama mimi kwa utukufuwake MUNGU ili awabadilishe watu wenye mioyo migumu wamrejee mapema. Mudawowote YESU anarudi, sijui utakuwa wapi, ukiwa na yeye hata hiyo dhoruba ikijahaitakupata. Mtashuhudia vifo vya wanaolitumia jina la YESU kichawi, watakufa ovyo.Mtakapoyaona hayo, dunia msiogope wala msishangae, kwa sababu wapo baadhi yawahubiri wakubwa kwa majina yao, wanatumia jina na YESU na kumbe hawapo naYESU bali ni maajenti wa shetani. Na hao ambao ni wachawi au waliojiunga na shetaniwanajijua wenyewe. Kila mtumishi anayeshika Biblia lakini anatumia uchawi na aache.KIFO kinamfuatilia, usidharau maneno haya, siyo ya Nabii Hebron baliyanatoka MBINGUNI.
Endelea kusoma blog ya Nabii Hebron utajifunza mengi. This BlogSpot can be translated into other languages too, so make sure to do so in order to keep following this and more teachings throughout the blog. GOD Bless you!
PROPHET HEBRON.