Nabii Hebron: Kaaa.
Nabii Hebron: Hii
inatoka kuzimu kabisa hii
Nabii Hebron: Tena
ametumwa kumuua Hebron
Nabii Hebron: Kaeni
chini msiogope
Nabii Hebron: Umefuata
nini hapa?
Agent wa kuzimu: Tumekuja
Nabii Hebron: Mmekuja
kufanya nini
Agent wa kuzimu: Tumemfuata
Hebron
Nabii Hebron: Mmemfuata
nani?
Agent wa kuzimu: Hebron
Nabii Hebron: Hebron
mnataka mumpeleke wapi?
Agent wa kuzimu: Tumeleta
bomu.
Nabii Hebron: Bomu
iko wapi?
Agent wa kuzimu: Ya
kuchoma hii kanisa
Nabii Hebron: Hyo
bomu iko wapi?
Agent wa kuzimu: Kuna
mganga mmoja anayo huko nje.
Nabii Hebron: Huyo
mganga yuko wapi?
Agent wa kuzimu: Yuko
kule nje.
Nabii Hebron: Haya
twende ukamkamate.
Nabii Hebron: Wewe
mganga kuja hapa.
Nabii Hebron: Mnaogopa
nini?
Agent wa kuzimu: (Anawika
kama kuku)
Nabii Hebron: Waite
wenzako wote
Nabii Hebron: Mbona
mnaogopa!
Nabii Hebron: Mbona
mnaogopa?
Waumini: Hatuogopiii...
Nabii Hebron: Weeee
Agent wa kuzimu: Niache
Agent wa kuzimu: Nikubomoe?
Agent wa kuzimu: Nikubomoe?
Agent wa kuzimu: Unanifahamu?
Agent wa kuzimu: Eeh,
unanifahamu?
Nabii Hebron: Lete
annointing oil
Nabii Hebron: Na
wanaowatuma ni watumishi sasa, na lusifa
Nabii Hebron: Kunywa
hiyo. Huyu ndio Hebron mwenyewe sasa
Agent wa kuzimu: eeee!
Nabii Hebron: Nakuvunja.
Agent wa kuzimu: Eeeeeh
(Anapiga makelele ya kuita msaada)
Nabii Hebron: Na
wewe nimekuambia hivi, usiogope sijui kuchoma, hapa hailipuliwi kitu.
Nabii Hebron: MUNGU
anawaruhusu wapigwe upofu waje ili niwakung'ute.
Agent wa kuzimu: Aahhhhhhhhhhhhhh
Nabii Hebron: Hivi
MUNGU anachezewa? Amejaa kwenye moyo wangu,hata dunia nzima hawaniwezi. Hata kinyamkera
cha aina gani hakiwezi. Wewe unaogopa nini bwana?
Agent wa kuzimu: Niache..
Nabii Hebron: Hebu
niwekeeni vizuri..
Agent wa kuzimu: Nitakumaliza..
Nabii Hebron: Njoooo
sasa...
Agent wa kuzimu: Nitakumaliza...
Nabii Hebron: Utammaliza
nani?
Agent wa kuzimu: Nitakumaliza
Nabii Hebron: Nimalize
sasa...
Agent wa kuzimu: Nisamehe.
Nabii Hebron: Nikusamehe
nini?
Agent wa kuzimu: Nisamehe
basi..
Nabii Hebron: Nikusamehe
nini?
Agent wa kuzimu: Sirudii
tena.
Agent wa kuzimu: Si
hii kijana inajiita Hebron
Nabii Hebron: Nani
kakutuma? sema.
Nabii Hebron: Nafutagano
la kusema siri zote, sema.... Sema.
Agent wa kuzimu: Tusamehe.
Nabii Hebron: Nikusamehe
nini?
Nabii Hebron: Wamekutuma
ufanye nini? sema.
Nabii Hebron: Wamekutuma
ufanye nini?
Agent wa kuzimu: Tunaliswha.
Nabii Hebron: Upanga
nilio nao nakata kichwa.
Waumini: Kwa jina
la YESU....
Agent wa kuzimu: Aaaaahhhhhh..
Nisameheee..
Nabii Hebron: Mnaogopa
nini? Kaeni kwenye viti baba yenu nipo fit bwana
Waumini: Ameeen
Agent wa kuzimu: Huyo
mganga anataka aondoke
Nabii Hebron: Asiondoke.
Mikaeli shika hapohapo. Hata angekuwa kaskazini anga la tatu si wanaletwa?
Waumini: Ameeen
Nabii Hebron: Na
ninakuambia leo ndio unaingia kaburini wewe.
Waumini: Ameeen
Nabii Hebron: Hautaishi
tena.
Waumini: Ameeen.
Agent wa kuzimu: Nisamehe
Nabii Hebron: Enhe,
umetumwa ukafanye nini na kuzimu. Sema hapa
Nabii Hebron: Sema
haraka
Nabii Hebron: Moja,
mbili, tatu, ninakuvunja kichwa chako..
Nabii Hebron: Vua
mavazi yote
Nabii Hebron: Huyu
yani ametoka kwa yule anaitwa shetani kabisa. Kisa kumfuata Hebron anasema ukwe....
Waumini: ukweliiiii.
Nabii Hebron: Kanisa
la wajanja hili. Au siyo???
Waumini: Ameen..
Agent wa kuzimu: Tumekuja
sasa
Agent wa kuzimu: Niko
relini, niko relini ninafufua watu.
Nabii Hebron: Mnasikia
manabii wa uwongo?
Nabii Hebron: Sema
wewe mchawi una fanya nini?
Agent wa kuzimu: Tumefufua
watu 10. kutoka kuzimu
Agent wa kuzimu: Tumetuma
huyo mtu aje kufufua watu
Nabii Hebron: Mmetuma
kuja kufufua watu huko kuzimu?
Nabii Hebron: Mnasikia
ninayowaambia
Agent wa kuzimu: Watu
wengi wameondoka na yule dada amekufa juzi juzi, ni sisi tumemuua.
Nabii Hebron: Mmesikia?
Mikutano mnaenda mnauliwa.
Nabii Hebron: Na
mmeua wangapi?
Agent wa kuzimu: eeehhhh
Nabii Hebron: Nakukata
kiuno..
Nabii Hebron: Hao
wenzako wote nawaua.
Nabii Hebron: Sogea
hapo. Anakung'utwa...Hebu mwachieni, sogeeni. Malaika zunguka hapo. Acheni
awekwe katikati. Hakuna kusimama. Haendi popote. Ni bakora, haendi ati si
mnaona?
Nabii Hebron: Bakora.Nikisema
nimesema mimi. Bakora. Rudisha hicho kichwa huku kisije kikaumia, ni
bakora.Na anayekusumbua wewe ni bakora tu. Bakoraaaaaaaa.
Hakuna kusitasita, kwa nini utoke jasho bwana? Niko vizuri mimi wewe.
Nakukanyaga kichwaaaaa..
Nabii Hebron: Mnaogopa
nini?
Nabii Hebron: Yesu
anabipiwa? Lakini usije ukasema YESU, YESU wakati huna YESU, ohooooo...
Nabii Hebron: Mnaona
anaita? Ita.. Nawapiga bara zima, dunia nzima...Si mnaona mkono anafanya hivi?
Nabii Hebron: Si
mnaona? Waite! YESU amenituma, niko full msiogope. Niko full....Na nyie
ninawaangalia mko full...
Waumini: Ameen.
Nabii Hebron: Unaogopa
nini wewe? Aa tulia.Haguswi mtu hapa. Yaani ole wake agese hata mtoto wangu hapa...Wewe.....Usiogope. Hata kiti cha kanisa
hili uguseguse tu...ole wako. Kikupige.
Nabii Hebron: Sema
vyote ulivyotumwa kutoka kuzimu.
Nabii Hebron: Leta
annointing oil.
Nabii Hebron: Halafu
wanakuja wanataka kuombewa? (Anammiminia annointing oil ghafla anajigaragaza sakafuni)
Nabii Hebron: BWANA
YESU asifiwe. Sasa wanakujaga wanataka waombewe, ili mtumishi anaponyosha mkonounashikwa.
Sasa mimi sishikwi...Umesikia?
Nabii Hebron: Sema
vitu vyote walivyokutuma kuzimu haraka. Moja, mbili, tatu. Nakunywesha damu ya
YESU.
Nabii Hebron: Nabii
hawa, toa vitu sijui chungwa liwe nini. Mnaona? Halafu nchi yetu itabadilika
kweli?
Waumini: Hapana.
Nabii Hebron: Hapana
Nabii Hebron: Ndio
wanategemewa waombee rais, waombee mawaziri, waombee bunge. Si wauaji hawa?
Waumini: Ndio.
Nabii Hebron: Nchi
itanyanyuka, ole wake anayewaloga viongozi wa Tanzania.Mimi ninatamka wazi,niko
nimesimama mimi. Ole wake, kichwa kule..
Waumini: Amen
Nabii Hebron: Wala
siogopi, watu wote mmeumbwa na MUNGU. Sawa sawa? Sasa ndio maana wananifuata
maana Tanzania inabadilika.
Waumini: Amen
Nabii Hebron: Na
Kanisa la mwisho ni Tanzania hapa YESU NI BWANA NA MWOKOZI. Watasema kila kitu
wanachotumwa hawa.
Nabii Hebron: Leta
anointing oil. Nimekwisha omnbea wewe usiogope.(Nabii Hebron anammiminia agent
wa kuzimu annointing oil mdomoni, mara
agent anageuka haraka na kuanza kufutia mdomo kwenye sakafu).
Nabii Hebron: Piga
mkuki wa hapa. Piga hapa. Hapo chini napabadilisha kuwa moto!!! Huko unakosogea
upigwe mkuki. Nakupiga mkuki wa hapa.... Haya ongea
haraka.
Nabii Hebron: Haraka. Sema haraka umekuja
kufanya nini hapa. Usitupotezee muda, sisi tunataka baraka bwana. Sema Haraka. Simama
mwenyewe unieleze mwenyewe, mbele ya mahakama ya BWANA YESU. Simama haraka.
Nabii Hebron: Mikaeli
shusha jiwe juu yake.
Agent wa kuzimu: Nisamehe
Nabii Hebron: Simama
mwenyewe
Agent wa kuzimu: Nisamehe
Nabii Hebron: Simama
haraka.
Agent wa kuzimu: Nisamehe
Nabii Hebron: Simama
ueleze kila kitu nitakusamehe. Simama.
Agent wa kuzimu: Tumetumwa
Nabii Hebron: Enhe,
mmetumwa nini?
Agent wa kuzimu: Tumekuja
kukujaribu wewe
Nabii Hebron: Kunijaribu
nini?
Agent wa kuzimu: Hebron
Nabii Hebron: Enhe.
Hebron kumjaribu nini?
Agent wa kuzimu: Tumepita
kila kanisa, tumekosa mtu aliyesimama kama Hebron
Nabii Hebron: Kwani
mnatafuta nini?
Agent wa kuzimu: Si
watu wengi wanasema Hebron ni freemason?
Nabii Hebron: Enhe,
kwa nini sasa wanakuja kwangu?
Agent wa kuzimu: wanasema
ni freemason wengine wanasema ni mchungaji, kwa hiyo tumekuja tuangalie kama ni
mchungaji wa kweli.
Nabii Hebron: Mmekuta
nini?
Agent wa kuzimu: Tumekuja
na kijana mmoja, ana bomu tatu ya kulipua hii kanisa, halafu mimi nikatangulia nikakaa
nikasikia tu Hebron anaongea kuzimu, kuzimu.
Nabii Hebron: Enhe..
Sasa mimi ni freemason au ni mtumishi wa MUNGU? Mimi ni nani mmekuta?
Agent wa kuzimu: Hebron.
Nabii Hebron: Mmekuta
nini hapa? Si mmejaribu?
Agent wa kuzimu: Ee,.
Tumeshindwa.
Nabii Hebron: Kwa
nini mmeshindwa?
Agent wa kuzimu: Ana
mwanga, sisi tunaishi na giza.
Waumini: Ameeen.
Nabii Hebron: Arusha
mmechezea makanisa mangapi?
Agent wa kuzimu: ee?
Nabii Hebron: Arusha
mmechezea makanisa mangapi?
Agent wa kuzimu: Tumeenda
mpaka Dar, mpaka Kenya.
Nabii Hebron: Enhe,
Agent wa kuzimu: Yani
hamna kanisa ambalo sijaenda, kila kanisa kila mkoa. Tukaenda kuangalia
watumishi. yani tukikuta mtumishi ambaye hajasimama, tunateka nyara.
Nabii Hebron: Nyara?
Agent wa kuzimu: Eee..
tunapeleka kuzimu
Nabii Hebron: Enhe,
Agent wa kuzimu: Kwa
hiyo yule mchungaji ambaye yuko relini ametoka juzi juzi kulekuzimu.
Nabii Hebron: Ameenda wapi?
Agent wa kuzimu: Ametoka
kuzimu.
Nabii Hebron: Ametoka
kuzimu?
Agent wa kuzimu: Eee
yuko relini.
Nabii Hebron: Ametoka
kufanyaje huko?
Agent wa kuzimu: Anakuja
kufufua watu. Ila watu hawajajua njia ambayo anaitumia.
Nabii Hebron: Anatumia
njia gani?
Agent wa kuzimu: eee?
Nabii Hebron: Anatumia
njia gani?
Agent wa kuzimu: Anatumia
njia ya mapepo.
Nabii Hebron: Ya
mapepo? Kwa nini atumie jina la YESU?
Agent wa kuzimu: Si
anawaambia watu tu njoo njoo (agent akifanya ishara ya kuita).
Nabii Hebron: Anawaitaje
waje?
Agent wa kuzimu: Si
anaita watu wa kutoka kuzimu?
Agent wa kuzimu: Dada
juzi niliruhusu afufuliwe. maana mimi ndio kiongozi pale.
Nabii Hebron: Wewe
ndio kiongozi pale?
Agent wa kuzimu: eee.
ndio mimi naandika.
Nabii Hebron: Wewe
ndio unaandika? Unaandika nini?
Agent wa kuzimu: Naandika
majina yao
Nabii Hebron: Ya
watu gani?
Agent wa kuzimu: Tunakula
nyama ya watoto wachanga.
Nabii Hebron: Mmesikia?
mmesikia? Sasa wewe wamekutuma kufanya nini kwangu? Kwa nini usiende kwingine?
Agent wa kuzimu: Tumejaribu
makanisa zote, yani kanisa ambayo sijawahi kuja ni hapa. Ndio nimekuja leo.
Nabii Hebron: Hizo
nyingine mmefanyaje?
Agent wa kuzimu: Tumepitia
tumeona hamna hata mmoja aliyesimama. Yote ni ya kutanga tanga tu.
Nabii Hebron: Kwa
nini sasa? Wapi na wapi mmepita. Rudia upya.
Agent wa kuzimu: Tumeenda
mpaka Dar, Kenya, Uganda, tumeenda kila mkoa, hakuna mtumishi aliyesimama.
Nabii Hebron: Sasa
mbona wanafanya miujiza?
Agent wa kuzimu: Tumekuja
kwa vile watu wanasema MUNGU yuko Moshono, ya Hebron.
Agent wa kuzimu: Sasa
nimekuja kuangalia leo kama Hebron amesimama. Nilipofiga getini, nikaona Hebron.
Yaani ana mwanga.
Waumini: Ameeen
(wakipiga vigele gele na makofi).
Nabii Hebron: Sasa
hao ambao hawajasimama wanapeleka watu wapi?
Agent wa kuzimu: Yule
mganga ametoroka.
Nabii Hebron: Atakufa
huko huko.
Agent wa kuzimu: Bado
hata dawa zake.
Nabii Hebron: Hata
hizo dawa agalia nazichoma hapo hapo. angalia kwa macho yako nazichoma..
Nabii Hebron: Si
mabomu ya kulipua nyumba, ni ya kichawi.
Nabii Hebron: Mnaona
anavyocheki?
Nabii Hebron: Nini
kinatokea huko sasa? Nini kinatokea?
Agent wa kuzimu: Eee?
Nabii Hebron: Hiyo
mabomu iko wapi?
Nabii Hebron: Hiyo
mabomu iko wapi?
Agent wa kuzimu: Iko
nje ya geti.
Nabii Hebron: Wapi?
angalia.. iko tena?
Agent wa kuzimu: Si
naona tumeingia nchi nyingine ambayo ni nyeupe!!
Nabii Hebron: Mnaenda
wapi?
Agent wa kuzimu: Eee?
Agent wa kuzimu: Tunarudi
zetu
Nabii Hebron: Mnarudi
zenu?
Nabii Hebron: Mnarudi
zenu wapi?
Agent wa kuzimu: Tunaenda
nchi yetu.
Nabii Hebron: Nchi
yenu wapi?
Agent wa kuzimu: Si
kuzimu?
Nabii Hebron: Kuzimu
wanasemaje sasa hivi?
Agent wa kuzimu: Bado
nitakaa tu
Agent wa kuzimu: Bado
nitafute watoto wachanga wawili nile niondoke.
Waumini: (Wumini
wanamkemea....)
Nabii Hebron: Aisee
watoto wote wana sura ya MUNGU halafu wamefanana na mimi. Sawa sawa? Hawaliwi!
Agent wa kuzimu: Nimemuona
mmoja saa ile ambayo nimeangalia tu
akalia.
Waumini: Haaaaaaaaaaaaaaaahhhh
shindwa pepo(waumini wanakemea)
Nabii Hebron: Mnasikia
ninawaambiaga watoto wakiona wachawi wanali...
Waumini: Wanalia.
Nabii Hebron: Hamjaona
hapo?
Waumini: Tumeona
Nabii Hebron: Mnaenda
kuliwa masadaka kanisani. Wewe unaongozwa na mtumishi hajasimama?!. Umefikia
nchi gani wewe? sema kila mahali umepita.
Agent wa kuzimu: Ile
sadaka ambayo watumishi wanatoa makanisani kila siku kila siku, sisi tunapokea
hiyo sadaka hamjui!
Nabii Hebron: Eee?
Agent wa kuzimu: Sisi
tunapokeaga. Mtu akija kujiunga na freemason tutapatia hiyo mali. Yani
tunaandikia miaka tano aishi. Halafu akifikisha miaka yake tano anakufa. Yani
kama amerudia tena kuja kusaini tena unaongezea miaka mbili au tatu.
Nabii Hebron: Mmesikia?
Nabii Hebron: Tulieni
hapa
Waumini: Amen
Nabii Hebron: Tulieni
hapa. Mambo yameharibika.
Nabii Hebron: Nani
aliyekutuma kuja hapa? Hiyo kuzimu. Sema, kwa nini wamekutuma kuja kwangu? Kwa
nini?
Nabii Hebron: Madhumuni
ni nini?
Agent wa kuzimu: Tumepita
kila mkoa tukaona hatujawahi kuja Moshono.
Nabii Hebron: Enhe,
huko kwenye mikoa mingine mmefanya nini?
Agent wa kuzimu: Tumeangalia
kila kona, tukachagua watumishi, tumepeleka wachache ambao hawajasimama. Unakuta
wengine wanahubiri wanawadanganya wengine, anatumia mapepo. Ukiona kama kina ....tumefika
huko, anatumia mapepo. Ile maiki (mic) anayoongea nayo ni mapepo ni nyoka.
Nabii Hebron: Tulieni
hapa mambo imeharibika.
Nabii Hebron: Nani
aliyekutuma kuja hapa? Hiyo kuzimu. Sema. Kwa nini wamekutuma kwangu?
Agent wa kuzimu: Eee?
Nabii Hebron: Kwa
nini? Madhumuni ni nini?
Agent wa kuzimu: Si
tumepita kila mkoa tukaona hatujawahi kuja Moshono.
Nabii Hebron: Enhe,
huko kwenye mikoa mingine mmefanya nini?
Agent wa kuzimu: Tumeangalia
kila kona tukachagua watumishi, tumepeleka wachache. Wale ambao hawajasimama. utakutawengine
wanahubiri wanadanganya wengine, Wengine wanatumia mapepo, ukiona kama kina
..... tumefika huko ile maiki (mic) anayotumia ni mapepo. Ni nyoka.